Organo Foliar ni Mbolea ya Asili ya kimiminika iliyotengenezwa kwa mchanganyiko maalum wa Mimea, mabaki ya Wanyama, mchanyiko linganifu wa maji ya madini na viongezeo vya asili vya madini.
Virutubisho:
N (%) 17.4
P205 (%) 7.97
K20 (%) 4.55
Ca (%) 1.01
Zn (%) 0.8
B (%) 1.0
Faida:
- Inaimarisha/boresha mizizi ya mmea.
- Inaimarisha/boresha majani ya mmea.
- Inarutubisha ardhi.
- Inaongeza uzalishaji kwa kiwango kikubwa.
- inaongeza ubora wa zao husika
- Kinga dhidi ya wadudu na magonjwa kwa mmea.
- Inazuia upukutishaji wa maua na matunda kwenye mmea.